Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salama ya Heshma mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini dar es Salaam jana katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulku.]
Kikosi cha Bendera cha jeshi la wananchi JWTZ wakitoa salamu ya hesha wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Maadhimisho ya Siku ya mashujaa yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu Mnazi Mmoja Jijini Dae es Salaam jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu,]
Makamo wa Rais wa Muungano Dk.Mohamed Gharib Bilali (kutoka kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mizengo Pinda, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya mashujaa yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu Mnazi Mmoja Jijini Dae es Salaam jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu,]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka Mkuki na Ngao katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Mnara wa kumbukumbu viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini dar es Salaam jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulku.]
Mkuu wa Mabalozi Juma Alfani Mpango akiweka shada la Mauwa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya mashujaa yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu Mnazi Mmoja Jijini Dae es Salaam jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu,]
Sheikh Ali Muhidin Mkoyagore kwa Upande wa Dini ya kiislamu akiomba dua wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya mashujaa yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu Mnazi Mmoja Jijini Dae es Salaam jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu,]
Dk.Stephen Mang’ana kutoka Baraza la Kikristo Tanzania akiomba dua wakati wa Maadhimishio ya Siku ya mashujaa yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu Mnazi Mmoja Jijini Dae es Salaam jana,mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu,]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein baada ya hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika jana katika viwanja vya kumbu kumbu Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.[Picha na Ramadhan Othman Ikulku.]
Makamo wa Rais wa Muungano Dk.Mohamed Gharib Bilali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) wakiwasalimia Wazee wa Jeshi la Ukombozi waaliopigana vita mbali mbali kukomboa nchi hii wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika jana katika viwanja vya kumbu kumbu Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.[Picha na Ramadhan Othman Ikulku.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiaagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es SalaamSaid Meck Sadiki baada ya kumalizika kwa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya mashujaa yaliyofanyika katika Mnara wa kumbukumbu Mnazi Mmoja Jijini Dae es Salaam jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu,]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee wa Jeshi la Ukombozi waaliopigana vita mbali mbali kukomboa nchi hii wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika jana katika viwanja vya kumbu kumbu Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.[Picha na Ramadhan Othman Ikulku.]
No comments:
Post a Comment