Pages

Saturday, 26 July 2014

KAMPUNI YA TTCL YATOA ZAWADI YA EID EL FITR KWA YATIMA DAR

   Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma’PSPF’ Adam Mayingu kushoto akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi kulia ni msanii Ester Kiama picha na mpiga picha wa fullshangwe blog.


 Baadhi ya wasanii wakijadiliana jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na mfuko wa wa pesheni kwa watumishi wa umma’PSPF’
  Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a ‘Steve Nyerere‘ kushoto akizungumza wakati wa semina kwa ajili ya wasanii iliyoandaliwa na mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma’PSPF’ juzi makao makuu ya mfuko huo Dar es salaam juzi picha na mpiga picha wetu
Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma’PSPF’ Adam Mayingu kushoto akizungumza na wasanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi kulia ni msanii Ester Kiama picha na mpiga picha wetu
Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma’PSPF’ Adam Mayingu wa pili kushoto akizungumza na wasanii baada ya kufungua semina kwa ajili ya wasanii mbalimbali
 Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma’PSPF’Adam Mayingu kushoto akisalimiana na kocha wa timu ya simba msimu uliopita Jamuhuri Kiweru
wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi katikati ni Afisa Masoko wa mfuko huo Rahma Ngassa picha na mpigapicha wetu
BAADHI YA WATU WALIOHUDHULIA SEMINA HIYO

No comments:

Post a Comment