Hii story imeongelwa leo kwenye kipindi cha HekaHeka kinacho rushwa na Clouds FM. Dah jamani kumbe huyu mkaka alikuwa ni house boy wa mtu huko Moshi na toka jana alionyesha dalili za kurukwa akili akaanza kupasua vioo. Sasa naskia asubuhi ya leo huyu jamaa kamkata mtoto wa nyumba hiyo na panga kichwani kama nazi akaanza kula ubongo wake na yeye akajikata uume wake pia akaula. Polisi walifika na kumchuka kumfikisha hospitali baada ya muda akafariki. Jamani tuweni makini na hawa watu tunao wachukua kutisaidia majumbani kwetu yaani mtoto wa watu kauwawa kikatili sababu ya ignorance maana wangemwahi huyu jamaa toka alipo anza kuvunja vioo jana maybe isinge fikia huku kote. R.I.P mtoto na huyu kaka ambae amefanya mauwaji lakini imegundulika kwamba alikuwa na matatizo ya akili.
Chanzo: Jestina George Blog
1 comment:
aziz bilal03:26
1
Reply
Lo wagonjwa wa akili wamekuwa ni wengi sana siku hizi huko nyumbani na huu utandawazi nao unachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu akili za watanzania nimewahi kujionea jinsi akili za watu wetu jinsi zilivyoharibiwa na hali ya uchumi
Post a Comment