Monday 9 June 2014

WATUHUMIWA WA KESI YA MTOTO WA BOKSI" NASRA RASHID KUSOMEWA MASHITAKA UPYA, WANANCHI WAVAMIA GARI LA POLISI NA KUWAZOMEA WATUHUMIWA


Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro.




Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya kuruka.

Bi. Mariam Said ambaye ni mama mkubwa wa Nasra, akishuka kwenye gari hilo.

Baadhi ya wananachi wakiwazomea watuhumiwa waliokuwa kwenye gari hilo baada ya kesi yao kuhairishwa hadi Juni 12 mwaka huu.

Wananachi hao wakilifukuza gari lililobeba watuhumiwa waliorejeswa polisi kwa mahojiano mapya baada ya mtoto Nasra kufariki dunia.

(Picha: Dunstan Shekidele -GPL/Morogoro)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!