Saturday, 7 June 2014

WALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI





Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji kuangalia katika tovuti www.moha.go.tz na www.immigration.go.tz ambapo majina ya wanaoitwa kwenye Usaili  yameorodheshwa. Usaili utafanyika tarehe 13 Juni, 2014, katika uwanja wa Taifa. Wasailiwa wote wafike saa moja na nusu asubuhi.

Au




Tangazo hili limetolewa na: 
KATIBU MKUU,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 
3.6.2014.Q

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!