“Hapo ulipofika tayari wewe ni Mshindi mkubwa na Unayeipeperusha juu sana Bendera yetu ya TANZANIA, Wote tunaoitakia mema nchi yetu tuko nyuma yako Mpaka kieleweke, Usife moyo Kwani hii ni dalili njema ya kupata mafanikio zaidi na zaidi, Stay blessed and LET’S GO GET THEM!!!”
Monday, 9 June 2014
UKWELI DIAMOND NI MSHINDI MKUBWA ANAYEPEPERUSHA JUU BENDERA YA TANZANIA NI MTAZAMO WETU MIMI NA PROFESA JAY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment