Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb)Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali yaUchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 naMpango na Maendeleo waTaifa 2014/15.
Wageni wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) ambao ni baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali yaUchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 naMpango na Maendeleo waTaifa 2014/15.Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kushoto) pamoja na Naibu wake, Bw. Maduka Kessy wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa Taarifa ya Hali yaUchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 naMpango na Maendeleo waTaifa 2014/15.Picha zote na:
Thomas Nyindo
Afisa Habari
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
No comments:
Post a Comment