Tuesday, 3 June 2014

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA "MTOTO WA BOKSI" NASRA RASHID KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO....(RIP NASRA)

Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra.


Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro
PICHA NA GLOBALPUBLISHERS.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!