Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Balozi Joseph Edward Sokoine ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Hafla hiyo ilifanyika, Ikulu, Dar es Salaam tarehe 24 Juni, 2014
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Sokoine pamoja na ndugu, jamaa na marafiki wa balozi huyo.
No comments:
Post a Comment