Friday, 27 June 2014

MAJAMBAZI WALIOMUUA MFANYABIASHARA HUKO GEITA NAO WAUAWA




Miili ya watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliouawa na jeshi la posisi mkoani Geita wakiwa na silaha ya bunduki aina ya SMG na bastola wakitumia pikipiki aina ya sanlg yenye namba T460 CVQ  baada ya kuvamia duka la mpesa na kumuua mfanyabiashara Gosbert Kulwa(59) mkazi wa tambukaleli mjini Geita.

CRD: Malunde.blog

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!