Saturday, 21 June 2014

JUST IN.......MUNGU WANGU AJALI MBAYA YAUA 6 NA KUJERUHI ZAIDI YA 12 MAENEO YA MAKONGO DAR


TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI.!!..



 Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo. 

Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
 R.I.P

Maiti ya mmoja kati ya marehemu walio kuwa ndani ya gari ikiwa imelala katikati ya barabara
Gari aina ya coaster lililo pata ajali likiwa katika  hari isiyo tamanika
Baadhi ya abiria walio pata ajali wakiwa katika hali mbaya

TUNATOA POLE KWA WOTE WALIOPOTEZA NDUGU, JAMAA ,MARAFIKI KATIKA AJALI HII.....MWENYEZI MUNGU AWAPUMZISHE KWA AMANI MAREHEMU WOTE..AMIIN.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!