Friday, 6 June 2014

H, BABA AALAZWA MUHIMBILI AKIUGUA DENGUE

Hii ni Kuhusu Afya ya H Baba Aliyelazwa Muhimbili Akiugua Dengue
Msanii H Baba amekumbwa na tatizo la ugonjwa wa homa ya Dengue hali iliyompelekea kulazwa kukimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

Flora Mvungi ambaye ni mke wa msanii huyo amesema kuwa mme wake alianza kusikia dalili za kuugua tangu Jumatano alipokuwa anajiandaa kwenda Leader Club kuaga mwili wa marehemu George Tyson Otieno aliyefariki June 30 kwa ajali ya gari.
H Baba akiwa hospitalini
H Baba akiwa hospitalini
Flora ameeleza:
Dengue, Muhimbili now saa nane hii, usiku hali ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe Muhimbili Hospital.amegundulika ni dengue. thanx to god anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager Yahya for your greatest help.mungu akuzidishie.asanteni pia my fans kwa maombi yenu.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!