Tuesday, 20 May 2014

WATANZANIA 7 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA NCHINI MSUMBIJI

Majira ya Saa 11 jioni imeripotiwa kutokea ajali mbaya iliyohusisha Gari ndogo aina ya Toyota Haice...Nchini Msumbiji katika Sehemu inayoitwa Namanyambili.



Chanzo cha ajali hiyo Chasemakana kuwa ni Kupasuka kwa Tairi la Mbele upande wa Kushoto wa Gari hilo na Kugonga Mti uliopembezoni mwa Bara Bara. Watu 7 wahufiwa kufa na Majeruhi 5 wako hoi katika Hospitali Nchini Msumbiji. Gari likitokea Montepuez/pemba.

Watu hao walikuwa wakitokea katika machimbo wakielekea Nyumbani kwa ajili ya Mapumziko.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!