» MCHEZAJI WA BARCELONA ATUPIWA NDIZI NA SHABIKI NA KUILA UWANJANI
Mchezaji
wa timu ya Barcelona Dan Alves akila Ndizi aliyotupiwa na Mashabiki
wakati Timu yake Ikicheza na Vilarial ...Nchini Hispania.Tukio
Hilo lilitokea Mchezaji huyo alipokuwa anaenda Kupiga Mpira wa Kona na
Ndipo aliporushiwa Nzidi na Mashabiki yeye kuamua kuiokota nuimenya na
kuila mbele ya Mashabiki Uwanjani
No comments:
Post a Comment