Ni Chege na Mheshimiwa Temba tena,baada ya rekodi lkadhaa huu ni ujio wao mwingine ambao wanategemea kuja nao baada ya muda mfupi,ni wimbo wao mpya unaoitwa Wauwe wamemshirikisha kijana kutoka Mkubwa na Wanawe anaitwa Maromboso tayari wameanza kushoot video hii ambayo imerekodiwa jana Mei 25 kwenye uwanja wa Jk Nyerere International Airpot.
Jokate ‘Kidoti’ nae yupo kwa video hii ambayo mazingira ya utengenezwaji wake Jokate anaonekana kama miongoni mwa marubani wa ndege hiyo waliopigia video hii,wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mkubwa na Wanawe Producer ni Shriko na muongozaji wa video hii ni Adam Juma wa Next Level.
Cheki baadhi ya picha hizo.
Credit.Millard Ayo
No comments:
Post a Comment