Sunday, 11 May 2014

SYRUP RECEIP KWA AJILI YA KUKABILIANA NA KIKOHOZI NA KUUMWA NA KOO

relieve sore throat

Syrup Recipe kwa kukabiliana na kikohozi na koo 



4 tbsp quality asali (bora ni asali Manuka) 
1 Kitunguu, maji
Tangawizi 3 cm safi, iliyokunwa 
Weka asali ndani ya bakuli changanya kitunguu maji  na tangawizi iliyokunwa. Acha mchanganyiko huo usiku mzima, au zaidi ya masaa sita. 
Jinsi ya kutumia:
Kula kijiko kimoja cha asali  kila baada ya masaa hadi dalili  kuondoka.(unaweza kuondoa vitunguu na tangawizi)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!