Kundi la kwanza la washindi wa tuzo KTMA alishinda Diamond na wimbo wa My Number One kwenye category ya wimbo bora wa Afro Pop ambapo tuzo ilipokelewa na producer wake Shedy Cleva.
Jinsi Ommy Dimpoz alivyotokelezea kwenye red carpet
Juu na chini ni show ya Mwana F.A alifanya na wamasai
Washereheshaji wa tukio Mpoki na Shadee kutoka Clouds TV
Tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili vya Tanzania ilienda kwa kundi la Dar Bongo massive na wimbo wa Bora Mchawi
Tuzo ya msanii bora chipukizi anayeibuka ilienda kwa Young Killer
Tuzo ya wimbo bora wa zouk kwa 2014 imeenda kwa wimbo wa Yahaya na Man Walter alipokea tuzo
Shaffih Dauda na mdau wakifuatilia tukio
Tuzo ya wimbo bora wa reggae imechukuliwa na Niwe na Wewe – Dabo
Tuzo ya wimbo wimbo bora wa Ragga/Dancehall imeenda kwa Chibwa Ft. Juru
CRD: MILLARD AYO.CO
No comments:
Post a Comment