ANGALIA PICHA MWILI WA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA ULIVYOAGWA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR
Msanii wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana anatarajia kuzikwa leo Mei 20, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Kwa sasa mwili wa Marehemu Adam Kuambiana upo katika viwanja vya Leaders Club katika kuagwa na wananchi.
Wengine nao wapo busy...
CHANZO HABARI NA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment