skip to main |
skip to sidebar
AUSTRIA ATOKA MSHINDI KATIKA EUROVISION SONG CONTEST 2014..
Drag queen Conchita Wurst anyakua ushindi na wimbo wake "Rise like a phoenix", akifuatiwa na Holland na Sweden katika nafasi ya tatu! mashindano ya eurovision hufanyika kila mwaka ikijumlisha nchi zote za Europe...
No comments:
Post a Comment