Monday, 12 May 2014

AJIRA! NAFASI ZA KAZI YA KUVUNA MIWA KILOMBERO NAFASI – 586












Uongozi wa Kampuni ya Sukari Kilombero unatangaza nafasi za kazi ya kuvuna muwa katika msimu wa uzalishaji wa 2014/2015
1.SIFA ZA MVUNAJI:
Awe na afya njema na mwenye nguvu Awe na tabia njema
Awe tayari kufanya kazi na kutimiza vipimo vilivyowekwa na uongozi wa Kampuni toka mwanzo hadi mwisho wa msimu March 2015. Waliokata muwa msimu uliyopita na kupata hati safi ya utendaji watafikiriwa kwanza.
2. Ajira itaanza tarehe 19/5/2014
3. Watakaoajiriwa watapata nafasi za kuJaJa kwenye makazi ya Wavunaji.
4. Watakaoajiriwa watafidiwa gharama za nauli za basi/treni walizo tumia kuja kwa ajili ya ajira kwa viwango vya nauli vilivyotolewa na SUMATRA. Hawatahitajika kuwasilisha tiketi za nauli siku ya ajira.
5. TafadhaJi atakayesoma/kusikia tangazo hili awafahamishe wenzake.


How to Apply
APPLICATION INSTRUCTIONS:

ROMANUS MWAPINGA
Kny MENEJA MKUU
Msolwa Mill Office
P.O. Box 50,
Kidatu. Tanzania
Tel: +2551 23 262 6011

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!