TAHADHARI HALI YA HEWA:Mvua kubwa, wimbi, pepo, zatarajiwa Z'bar, Dar, Tanga kuanzia Ijumaa, Mamlaka ya Hali ya Hewa yaonya. Huenda ikatokea Lindi, Mtwara, Morogoro...
Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24, upepo mkali unaozidi kilometa 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 katika ukanda wa pwani, vinatarajiwa!
No comments:
Post a Comment