Sunday, 27 April 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA MAGONJWA YA MOYO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM LEO


h1Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014

h2Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
h3Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakiangalia baadhi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji  kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
h4Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
h5Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza  Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People’s Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) baada ya uzinduzi rasmi wa  kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili rasmi leo April 27, 2014. 
PICHA NA IKULU

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!