Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27, 2014.Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es salaam aliyemtembelea leo April 27, 2014.
Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
PICHA NA IKUU
No comments:
Post a Comment