Wednesday, 23 April 2014

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KUHAMASISHA MUUNGANO ULIOFANYWA NA WASANII 50 WA TANZANIA

IMG_0294


Wasanii 50 wa muziki a Bongo Fleva, Hiphop, Injili, Dance na Taarab  wamekuja pamoja na kufanya wimbo wa Kuhamasisha Muungano unaotoka April 26 2014. Sababu ya kufanya wimbo huu ni kuhamasisha Amani na muungano wa Tanganyika Na Zanzibar. Hii ni mara ya kwanza sauti za wasanii 50 zinasikika kwenye wimbo wa dakika 3.

IMG_0302

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!