Watoto wetu bado hawajakomaa utosi kusuka hizo staili, tunaua ubongo wao, ndo maana baada ya miaka kadhaa Mara macho hayaoni vizuri, mara kichwa kinauma kila mara n.k. Vyanzo vyake ni Pamoja na kusuka watoto Kabla hawajakomaa utosi. Epuka hilo, chukua hatua ewe mzazi/mlezi.
1 comment:

Post a Comment