Friday, 11 April 2014

MAJAMBAZI YAWAPIGA RISASI WACHINA NA KUWAPORA FEDHA

Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio.
Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha hivi punde eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

CRD: GPL

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!