Wednesday, 30 April 2014

MAJAMBAZI YAUA ASKARI POLISI WAWILI TABORA

Baadhi ya askari Polisi wakiutoa mwili wa askari Polisi kwenye Wodi namba moja  aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi huko katika Tarafa ya Ussoke wilayani Urambo askari huyo aliyefahamika kwa namba F.5179 PC JUMANNE,walipigwa risasi wakiwa na askari mwenzake ambaye pia alifariki papo hapo namba G.3388 PC SHABAN.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!