Sunday 13 April 2014

KUTANA NA ANGE KAGAME BINTI WA RAIS KAGAME, NI MMOJA KATI YA WATOTO WAREMBO WA MARAIS AFRIKA

k 4
Anaitwa Ange Kagame, ni mtoto wa pili na wakike pekee wa Rais wa 6 wa Rwanda Paul Kagame, mama yake anaitwa Jeannette Nyiramongi na ndiye first lady wa Rwanda.



Ange hajalelewa nchini Rwanda, ameishi maisha yake yote nje ya nchi. Wanafunzi waliosoma naye wanasema binti huyu anajituma sana kwenye masomo na kusaidia watu na muda mwingi hutumia kufuatilia mambo yanayoendelea nyumbani kwao Rwanda.
Kwa sasa Ange amerudi Rwanda na anafanya kazi nyingi za kujitolea kwa jamii kama kuoanda miti, kampeni za kupiga vita magonjwa nguli Rwanda na kuendesha makundi ya kukomboa wanawake kutoka kwenye umasikini.
k 1



k 5

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!