Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi lenye pesa na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo (maeneo ya mataa ya Uwanja wa Ndege, Dar).....
CRD. JMF
CRD. JMF
No comments:
Post a Comment