JUST IN... HABARI TULIZOZIPATA HIVI PUNDE NI KWAMBA MWANAMUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA
Taarifa za awali: Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma kabla ya kustaafu mziki) amefariki dunia akiwa Muhimbili alipokuwa amelazwa!
No comments:
Post a Comment