Monday, 7 April 2014

HABARI ZA UMBEYA/ NIKIWA NA MPENZI KILA MTU ATAJUA, SIWEZI KUWA NA MAPENZI YA SIRI- PENNY

PREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.
clip_image001



Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa na mtu mwingine.
“Bado nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama  nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!