Mtu mmoja ameuawa maeneo ya Mbezi Salasala,kwa mujibu wa shuhuda alisema kuwa mtu huyo alikuwa anaomba msaada majira ya saa kumi alfajiri,ambapo kuna watu walikuwa wakimpiga kwa kumkatakata mapanga na kutaka kumchoma moto,haijajulikana kama alikuwa mwizi au kauawa na vibaka.
Source: Clauds Fm.
1 comment:
Mubaraka Kimweri01:15
1
Reply
Hata kama ni mwizi nchi yetu hairuhusu kujichukulia sheria mkononi.Mtu katenda kosa sheria ifuate mkondo wake.
Post a Comment