skip to main |
skip to sidebar
WANANDOA WAVUMBUA NDOO MBILI ZA SARAFU ZA DHAHABU -MAREKANI
Uvumbuzi huo ulitokea mara baada ya kukuta kibati kilichokua na kutu kikiwa kinachungulia aridhini katika upenu wa nyumba yao. Ndipo walipoamua kuchukua vifaa na kuchimba ili kuona ilikua ni kitu gani.
- Sarafu hizo za dhahabu zina thamani zaidi ya mamilioni ya dola za Kimarekani. Picha ni baadhi ya Sarafu hizo baada ya kusafishwa.
No comments:
Post a Comment