TANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Mhe. Rasmusson akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Wizarani. |
Bw. Haule akizungumza na Mhe. Rasmusson |
Mhe. Rasmusson akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule |
Wajumbe waliofuatana na Mhe. Rasmusson wakifuatilia mazungumzo kati ya Bw. Haule na Mhe. Rasmusson (hawapo pichani). Wa kwanza kulia ni Balozi wa Sweden hapa nchini, Mhe. Lennarth Hjelmaker. |
Mhe. Rasmusson akifurahia jambo kwa pamoja na Bw. Haule na Balozi Hjelmaker. |
Bw. Haule akimsindikiza Mhe. Rasmusson mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. |
Bw. Haule akiagana na Mhe. Rasmusson. KWA HISANI YA ISA MICHUZI.. |
1 comment:
Mubaraka KimweriIgår 21:50
1
Svara
NI SAFI KUJENGA MAHUSIANO NA NCHI ZILIZO JUU KIUCHUMI HASA MAHUSIANO YA KIELIMU.BIG UP
Post a Comment