Monday, 3 March 2014

SHINDANO LA WATOTO WENYE KIPAJI CHA KUIGIZA LILILOANDALIWA NA WEMA SEPETU LAFANYIKA VIWANJA VYA LEADERS

Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu na pia alikuwa ni jaji wa shindano la kusaka vipaji kwa watoto waliokuwa na umri kuanzia miaka minne(4) mpaka kumi na tano (15) akizungumza na mshiriki wa shindano hilo la kusaka vipaji kwa wanaojua kuigiza. Shindano hili limefanyika leo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na kuwapata watoto watatu waliokuwa wanaitajika.


Jaji Wema Sepetu akiwa na Jaji mwenzake Aunt Ezekiel walipokuwa wanawafanyia usahili watoto waliofika kwenye shindano la kusaka vipaji vya watoto wanaoweza kuigiza.
Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu akicheza muziki na mmoja wa washiriki wa shindano  la kusaka vipaji lililofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders.
Director wa shindano la kusaka vipaji, Adam akizungumza jambo
Msanii wa Bongo movie na aliyekuwa Jaji, Wema Sepetu akizungumza na mtoto aliyekuwa anashiriki kwenye shindano la kusaka vipaji kwa watoto wenye miaka minne mpaka miaka 14.
Baadi ya washiriki waliofika wakiwa na wazazi wao kwenye shindano la kusaka vipaji vya watoto wanaojua kuigiza.
Mmoja wa watoto akiigiza kwa kulia mbele ya majaji (hawapo Pichani) katika shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lililofanyika leo kwenye viwanja vya leaders Club.
Msanii wa bongo movie akiiigiza na mmoja wa washiriki wa shindano hilo la kusaka vipaji vya watoto kwani alileta hisia kali kwa kuigiza vizuri
Palikuwa hapatoshi kwenye Stage maana watoto walikuwa wanafanya ya kwao
Msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel akiigiza na mmoja wa watoto waliokuwa kwenye shindano la kusaka vipaji.
Nae Adam (Kushoto) akuwa mbali maana hata yeye aliamua kuigiza na mmoja wa washiriki waliofika kwenye shindano hili
Wema Sepetu akiigiza na mmoja wa washiriki wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza
Baadhi ya washiriki wakiwa na wazazi wao

Hawa ndio watoto waliofanikiwa kuingia nusu fainali
Hawa watoto watatu ndio waliofanikiwa kushinda shindano hili mbalo liikuwa linahitaji watoto watatu.NA PAMOJA BLOG

1 comment:

Anonymous said...

Mubaraka KimweriYesterday 22:13


1
Reply

NI JAMBO ZURI LAKINI WASANII WETU SASA HIVI NI MAJANGA HII NI KWASABABU WAPO KIMASLAHI ZAIDI ILA SI KUELIMISHA JAMII

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!