Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi “Ngoma Africa Band” yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,
Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku
ya WANAWAKE duniani, salaam hizi maalum kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu “HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani asiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) ”Siku ya ” WANAWAKE” oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani at http://www.ngoma-africa.com
booking at ngoma4u@gmail.com or contact@ngoma-africa.com
Saturday, 8 March 2014
Salam za Heri ya Siku ya “WANAWAKE DUNIANI” kutoka Ngoma Africa Band
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment