Habari tulizozipokea hivi karibuni, ni kwamba dada yetu mpendwa Carol Mbilinyi amefariki dunia akiwa Tanzania alikokuwa amekwenda likizo.
Carol Mbilinyi ambaye alikuwa mpambaji maarufu hapa Washington Dc. Mara ya mwisho marehemu alikuwa akifanyakazi na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kama msaidizi wa Mwambata wa jeshi wa Ubalozi huo uliopo Washington, DC.
BLOG YA SUNDAY SHOMARI inatoa pole kwa ndugu jamaa, marafiki na Ubalozi wa TanzaniaWashington Dc kwenye msiba huu mzito wa kuondokewa na ndugu yetu..
SOPHIEMBEYU BLOG IMEPOKEA HABARI HII KWA MASIKITIKO MAKUBWA, KUTOKANA NA MAREHEMU ALIKUWA MTU WA KARIBU SANA NASI..SOPHIEMBEYU BLOG NA TIMU NZIMA TUNAUNGANA NA FAMILIA YA MAREHEMU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU..
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEEN!
CRD: SUNDAY SHOMARI BLOG.
No comments:
Post a Comment