Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Ms Jacqueline Barret, Group Comliance Director wa Vodafone mara baada ya Mkurugenzi huyo kutoa hotuba yake kwenye hafla ya ‘Connected Women’ iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip tarehe 5.3.2013 ambapo Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na kubadilishana mawazo na washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi huo.
PICHA NA JOHN LUKUWI
Baadhi ya washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi huo.Baadhi ya washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi huo.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Taarifa ya ‘THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE’ ya Vodafone Foundation. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Golden Tulip hapa Dar es Salaam tarehe 5.3.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na kubadilishana mawazo na washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment