DUKA la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika kuwa majambazi, Ni mda mchache uliopita kutoka sasa tangu tukio hilo limetokea maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
Kwa mujibu wa chanzo cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa , Idadi kamili haijajulikana endelea kufuatilia...
CRD: MASAI NYOTA MBOFU.COM
No comments:
Post a Comment