Sunday, 23 March 2014

DUNIA INA MAMBO, MAHARUSI HAWA WAFUNGA NDOA WAKIWA UCHI KAMA WALIVYOZALIWA!


Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi duniani kwa ujumla maharusi mara nyingihujipangia mavazi yao kwa ajili ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharama
nyingi kununulia nguo hizo kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia katika nyanja hiyo.


Na wasimamizi wao nao mtindo ule ule!


Angalia kazi hiyo! hawa ni wendawazimu hakuna neno lingine!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!