NDUGU WA MAREHEMU WAKIINGIZWA KWENYE CHUMBA AMBAKO MAITI ZILIPOHIFADHIWA KATIKA KITUO CHA AFYA CHALINZE ILI KUTAMBUA MIILI YA NDUGU ZAO
AJALI ILIYOHUSISHA LORI LA MAFUTA LA MT MERU NA COASTER INAYOFANYA SAFARI ZAKE DAR-MKATA LAPATA AJARI KWA KUGONGANA USO KWA USO MAENEO YA CHALINZE MZEE..MAJIRA YA SAA MBILI USIKU WA JANA TAREHE 4 MARCH 2014.
KWA MUJIBU WA MASHUHUDA WA AJALI HIYO WANASEMA IMESABABISHWA NA MWENDOKASI WA MAGARI HAYO HALI YA KUWA ENEO HILO NI HATARI KWANI LINAKONA NDOGO MBILI ZINAZOFUATANA.
WATU WALIOKUFA KWENYE AJARI HIYO YAFIKIA SITA BAADA YA MMOJA KUONGEZEKA HUKO HOSPITAL YA TUMBI.
CHANZO: PAPARAZ HURU..
No comments:
Post a Comment