Friday, 28 February 2014
PICHA ZAIDI ZA AJALI YA BASI LA BUNDA EXPRESS KUGONGA TRENI HUKO SINGIDA LEO.
Habari nilizozipata hivi punde zinasema kuwa Kuna ajali imetokea ikilihusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari cha kuaminika ambacho kipo Eneo la tukio Bado hawajajua idadi ya majeruhi na waliokufa lakini inaonekana ajali ni mbaya na ameshuhudia tayari maiti moja.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment