Wednesday, 26 February 2014

MTEMVU, AKABIDHI MIKOPO YA MAGARI BAJAJI NA PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU KWA VICOBA TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya Noah katibu Mkuu wa Saccos ya Tujikwamue ya Chang’ombe, Dar es Salaam, Itika  Mwankenja katika hafla ya Taasisi ya PFT ya kukabidhi mikopo ya magari, bajaji, pikipiki na fedha kwa vicoba mbalimbali, Temeke, Dar es Salaam juzi. Mtemvu ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo.

Itika akiangalia wakati Mtemvu akiliwasha gari hilo.
Mtemvu akikabidhi mkopo wa bajaji kwa moja ya wana vicoba
Mwenyekiti wa Mpakani B Vicoba, Mwaimuna Ali akikabidhiwa funguo wa bajaji kwa niaba ya wenzie
Ni furaha iliyoje kwa kikundi hicho kupata mkopo wa bajaji
Moja ya Vicdoba ikipatiwa mkopo wa pikipiki
Viongozi wa VICOBA ya VAMAU wakipatiwa funguo za pikipiki baada ya kukopeshwa na PFT
PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!