wa ustawi na furaha na pamoja na kujenga taifa lisilo na uhai wa nguvu kazi na lenye maadili
kutokana na ndoa za jinsia moja zinazoshika kasi katika mataifa ya Ulaya na Amerika.
kukoma kuzaa watoto na kukosa familia.
Padri Angelus Shikombe alisema hayo wakati wa ibada maalumu ya siku ya Sherehe ya Familia
Padri Angelus Shikombe alisema hayo wakati wa ibada maalumu ya siku ya Sherehe ya Familia
iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Bikira Maria la mjini Geita.
“Hali hiyo ikichangiwa na kivuli cha utandawazi, ndoa moja ni suala ambalo hatukubaliani nalo..kwani
“Hali hiyo ikichangiwa na kivuli cha utandawazi, ndoa moja ni suala ambalo hatukubaliani nalo..kwani
linachimbia kaburi ustawi wa familia siku zijazo nchi itakosa vijana',” alidai Padri Shikombe.
Padri Shikombe ambaye pia ni Katibu wa Askofu wa Jimbo la Geita mahubiri yake ambayo yalionekana
Padri Shikombe ambaye pia ni Katibu wa Askofu wa Jimbo la Geita mahubiri yake ambayo yalionekana
kuwagusa mamia ya waumini, yalisababisha vicheko na wengine kuguna.
Alisema maadili ya Kanisa ni kwamba hakuna ukomo wa kuzaa, ingawa mataifa makubwa yamebuni
Alisema maadili ya Kanisa ni kwamba hakuna ukomo wa kuzaa, ingawa mataifa makubwa yamebuni
mpango wa uzazi wa kisasa ambao unaweka ukomo ambao hata hivyo, alisema utasababisha
athari kwa mataifa yamayoendelea.
“Ndugu zangu, mataifa makubwa sasa yanatushinikiza kuwepo na ndoa ya jinsia moja na ukomo
“Ndugu zangu, mataifa makubwa sasa yanatushinikiza kuwepo na ndoa ya jinsia moja na ukomo
wa kuzaa mtoto mmoja ni mbinu ya kutuangamiza baada ya mataifa hayo kujikuta hayana vijana
wala nguvu kazi ya vijana, yamebakiwa na wazee na sasa yanataka nasi tuwe hivyo,” 'alisema Shikombe.
chanzo:nipashe
chanzo:nipashe
No comments:
Post a Comment