Thursday, 2 January 2014

MAREHEMU DR MGIMWA ALIKUWA NI KIONGOZI ASIYEPENDA KUJILIMBIKIZIA MALI HAPA NDIPO NYUMBANI KWAKE


 
 Hapa  ndipo  nyumbani  alipozaliwa na alipokuwa akiishi  aliyekuwa  waziri  wa fedha na mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa


Hii ndio nyumba ya  waziri wa fedha  Dr Wiliam Mgimwa  iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera   ikipepea  nusu mlingoti

Hii  ni  nyumba anayoishi mama yake  ambayo  ipo  jirani na yake
Wanachama wa CCM wakibadilisha  bendera  nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha  jioni ya  leo .usikose  kujua habari  zaidi  kesho  juu ya maisha ya  waziri Dr Mgimwa. Picha na Francis Godwin

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!