BOMU LAONEKANA MAKUTANO YA BARABARA ZA MOROGORO NA SHEKILANGO LIMEJICHIMBIA ARDHINI MAENEO HAYO HIVI SASA .
POLISI WAMESHAFIKA MAENEO HAYO NA WAKO TAYARI KWA HATUA ZAIDI... BARABARA ZIMEFUNGWA..
ENDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI..........
SOURCE; RADIO ONE.
No comments:
Post a Comment