Saturday, 14 December 2013
SI WOTE WANAO UWEZO WA KUSHEREHEKEA SIKUKUU, UNAWASAIDIAJE?
Katika sikuu kubwa kama X-Mas na nyinginezo, watu hutumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kununua zawadi, navynginevyo, kwa sasa fashen hii imekuwa ni kufuru, watu husherehekea kwa kuifanya siku hiyo kuwa ya gharama zaidi, na wengi wao hata wamepoteza maana ya sherehe yenyewe, badala ya kuisherehekea sikuu kwa kutenda mema, na kuwasaidia wale ambao hawakuweza kusherehekea kama wewe! kuna watoto wa mitaani, kuna ombaomba, kuna idadi kubwa ya watu ambao hawajiwezi kimaisha, yatima, vilema etc, si lazima kiwe kikubwa, hata kidogo kinaweza kuleta tofauti kubwa kuliko unavyofikiria...
NAKUSHUKURU KWA KUTUPIA MACHO UJUMBE HUU! NAKUPENDAJE SASA!
VIVA X-MAS!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Angel Kweka07:521
Reply
Ni kweli sophy.ni kumwomba mungu
Post a Comment