Monday 9 December 2013

RAIS WA MAREKANI, BARACK OBAMA AELEKEA AFRIKA YA KUSINI KUHUDHURIA MAZISHI YA SHUJAA NELSON MANDELA

Rais wa Marekani, Barack Obama na mke wake Michelle Obama wakipunga mikono wakati wa kuondoka Washington na kuelea Afrika ya Kusini ili kuhudhuria mazishi ya Rais wa zamani Nelson Mandela aliyefariki akiwa na umri wa miaka 95. 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!