Monday 9 December 2013

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU

GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU
MAELFU YA WATANZANIA WAHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU

MAELFU YA WATANZANIA WAHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU

No comments:

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!