Tuesday, 17 December 2013
MAJAMBAZI SABA YAUAWA PAPO HAPO BAADA YA KUPIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA
Majambazi saba yauwawa baada ya kujaribu kuvamia na kupora mali kwenye duka moja la jumla, wananchi walishtukia mchezo na kulizunguka duka hilo,wakati majambazi hao wanajaribu kukimbia walivamiwa nakushambuliwa, walipasuliwa vichwa na kisha kuuwawa hapo hapo wote saba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment